Mkufunzi wa mafunzo ya pamoja kati ya wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na wanachama wa jumuiya ya ZANAB juu ya matumizi maalum ya vifaa vya kupigia kura akielekeza jambo juu ya matumizi ya vifaa maalum vya kupigia kwa watu wenye ulemavu wa macho leo tarehe 16/10/2015
Washiriki wa mafunzo ya pamoja kati ya wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo na wanachama wa jumuiya yaZANAB juu ya matumizi maalum ya vifaa vya kupigia kura wakimsikiliza kwa makini mkufunzi wa mafunzo wakati akiwasilisha mada katika mafunzo hayo ambayo yalifanyika ukumbi wa SALAMA HALL Bwawani tarehe 16/10/2015
No comments:
Post a Comment