Habari za Punde

Matukio ya Picha Zenj


 Harakati za hapa na pale katika mji wa Unguja wakati wa mchana ikiwa na harakati za Wananchi kujitafutia mahitaji yao na msongamano wa magari kama inavyoonekana katika eneo la marikiti.  
Wananchi katika Mji wa Unguja wakipata habari mbalimbali kupitia katika magazeti mbalimbali ili kupata habari kupitia katika magazeti hayo kama walivyokutwa katika moja ya duka masrufu la magazeti Zanzibar Masomo Bookshop  mkunazini leo asubuhi wakipitia viwacha habari vya magazeti hayo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.