Wasanii wa muziki wa Kikundi cha B40 wakitowa burudani wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein Zanzibar.
Mwanachama wa CCM akiwa amejipaka rangi za Kijani na Njano rangi za Chama cha Mapinduzi akiwa katika viwanja vya mkutano kibanda maiti Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya Demokrasia Kibanda Maiti wakimshangilia Mgombea Urais wa Zanzibarb kupiti CCM Dk Ali Mohamed Shein. wakati wa ufungaji wa mkutano wake wa kampeni kisiwani Zanzibar.
Msanii wa Taarab wa Kikundi cha Aisha Mashauzi Aisha akitowa burudani ya muziki wa Taraab katika viwanja vya mkutano kibanda maiti Zanzibar, ukiwa mkutano wa ufungaji wa Kampeni za Mgombea Urais wa Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakifuatilia Mkutano wa Kampeni ya Mkombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.
Balizi Ali Karume akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai, alipowasili katika viwanja vya mkutano kibanda maiti Zanzibar.
Shamra Shamra za Ufungaji wa Kampeni za CCM Zanzibar zimekwenda sambamba na urushaji wa mabofu (Maputo) wakati Mgombea wa Urais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein, akiaza kuhutubia mkutano huo wa ufungaji kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCMna Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanazibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi katika mkutano wake wa ufungaji wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Wanachama wa CCM wakionesha mifunguo kuashiria
Hapa Kazi Tu.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi waliohudhuria mkutano wake wa Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar na kuwaomba Kura ili kuweza kuendelea kwa Kipindi cha Pili cha Urais wa Zanzibar kwa Maendeleo ya Wazanzibar.
Kijana akitowa Alama ya lugha kwa Wananchi wenye Ulemavu wa kutokusikia wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi na Wana CCM wakati wa mkutano wake wa ufungaji Kampeni uliofanyika katika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Mwanachama wa CCM akiwa amejichora CCM No 1akiwa katika viwanbja vya mkutano Kibanda maiti Zanzibar.
Umati wa Wanachama wa CCM wakiwa katika viwanja vya mkutano wa kampeni wakishangilia.
Wanachama wa CCM wakimshangilia Mgombea wa CCM Dk Ali Mohamed Shein, wakati akiwahutubia katika mkutano wake wa Kampeni uliofanyika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said, akichukua picha za kumbukumbu ya mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Shein, uliofanyika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Wanachama wa CCM Wakishangilia wakati wa mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, uliofanyika viwanja vya Kibanda Maiti Zanzibar.
Wasanii wa Bongo Movi wakiwa katika viwanja vya mkutano Kibanda maiti Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na wasanii wa Bongo Movi, baada ya kumalizika mkutano wa ufungaji wa kampeni uliofanyika viwanja vya kibanda maiti Zanzibar.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot
Zanzinews.com
Email. othmanmaulid@gmail.com
Phone. 0777424152 or 0715424152.
No comments:
Post a Comment