Habari za Punde

Tangazo la Kujiunga na Skuli ya Kisasa ya Briliant Bububu Kijichi Fomu Zimeaza Kutolewa kwa Wanafunzi.



Tangazo la Kujiunga na Masomo katika Skuli ya 

Kisasa ya Brilliant Academy Bububu Kijichi 

Zanzibar.

Brilliant Academy Inafuraha kuwatangazia Wazazi kuwa tayari imeaza kutoa Fomu kwa Ajili ya Kujiunga na Skuli hiyo kwa mwaka wa Masomo 2016.

Fomu za kujiunga na Skuli hiyo ya Brilliant Academy zitaanza kutolewa tarehe 1 November 2015, katika Ofisi zake zilioko Kikwajuni nyuma ya jengo la OTTU na Katika Majengo ya Skuli hiyo huko Bububu Kijichi Zanzibar.

Fomu zitatolewa kwa Wanafunzi wa madarasa mbalimbali kuazia 

> Baby Class
> Maandalizi 
> Skuli ya Msingi kuazia darasa la kwanza.
> Hadi Kidatu cha Kwanza na Sekondari.

Brilliant Academy ni Skuli ya kisasa ina madarasa makubwa na ya kutosha kwa Wanafunzi wake Ina maabara kubwa na ya kisasa, Vyumba vya Kumpyuta, Projecta kwa kila Darasa.

Jengo la Skuli limewekewa Kamera za kisasa za CCTV, kwa ajili ya Usalama na Uangalizi mzuri wa Mtoto wako Skuli hapo.

Skuli ya Brilliant Academy iko Bububu Kijichi Wilaya ya Magharibi A Unguja.Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar.

Fomu za Kujiunga na Brilliant Academy zitaaza kutolewa kuazia tarehe 1 November 2015 katika Ofisi zake Kikwajuni nyumba ya jengo la Ottu zamani Juwata jengo la Ceragem Clinic Kikwajuni na Sehemu iliyoko Skuli hiyo huko Bububu Kijichi Zanzibar.

Kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana kwa namba ya  Simu Namba 0777 770003.

Karibuni Wote katika Skuli Yetu ya Brilliant Academy Bububu Kijichi Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.