Habari za Punde

Waandishi Wakiendelea kusubiri kutangazwa kwa Matokeo Usiku huu Zanzibar.


 Mdau akichapa Kazi katika ukumbi wa Salama Bwawani akisubiri kutangazwa kwa matokeo ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar 2015. 
 Hapa Kazi Tu Hakuna Kulala mpaka kieleweke hapa.
 Waandishi wa Redio ya Chuchu FM wakisubiri kutangazwa kwa Matokeo kuweza kurusha moja kwa moja kutoka katika ukumbi wa Salama wakisubiri kutangazwa kwa matokeo hayo ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar 2015.
 Waandishi wa habari wa Redio Swahiba FM wakipiga stori wakiwa katika kusubiri matokeo kutangaza mojo kwa moja kutoka katika ukumbi huu.





No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.