Zoezi la Upigaji Kura Zanzibar likiendelea kwa Amani na Utulivu katika vituo vya kupigia Kura Zanzibar na Wananchi wakijitokeza kwa wingi kutumia haki yao ya msingi ya kupiga Kura. Wananchi wa Jimbo la Mtoni wakiwa katika kituo cha kupigia Kura cha Garagara.
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiwasili katika Kituo cha Wapiga Kura cha Garagara Mtoni Zanzibar kwa ajili ya kupiga Kura leo mchana.
No comments:
Post a Comment