Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar inavyozidi kushangaza wengi


 Wahudumu wa Uwanja wa bweleo wakitoa maji kabla ya mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja Kati ya Mafunzo na Kimbunga kuanza. Pamoja na kutoa maji pia kilitumika kigurudoza kidogo maarufu kijiko kikiweka sawa Uwanja huo ambao ndio unaotumika kwa ligi hiyo.

Wachezaji wa timu ya Kimbunga wakipat mawaidha kutoka kwa mwalimu wao mara baada ya kumalizika kipindi cha kwanza. Mchezo umechezwa kwenye Uwanja wa Bweleo nje kidogo ya mji wa Zanzibar Kati yao na Mafunzo. Picha kwa hisani ya Mwajuma Kombo

Benchi la ufundi la moja ya timu inayoshiriki ligi kuu ya Zanzibar, Picha na Ibny Khamis

Waamuzi wa moja wa mchezo wa ligi kuu wakati wa mapumziko

2 comments:

  1. They are not serious. Are n't they?

    ReplyDelete
  2. Ye that's joke fam !! 😄😄😄😄😄😄😄😄😄😄 just we need mamlaka kamili cuz Tanganyika they cannot happening like 👆

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.