Habari za Punde

Mwandishi akifuatilia athari za mimba za utotoni Shehia ya Shengejuu

MWANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya serikali Zanzibar alieoko Pemba,  Haji Nassor, akizungumza na Mratibu wa wanawake na watoto shehia ya Shengejuu wilaya ya Wete Salma Abdalla Hamad na sheha wa shehia hiyo Omar Faki Kombo juu ya athari za mimba za utotoni, (Picha na Ali Suleiman, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.