Habari za Punde

Ujenzi wa Mradi wa Utanuzi wa Barabara ya Fuoni Tunguu Waaza Maandalizi yake ya Kubomoa Majengo Yaliokuwa Kando ya Barabara hiyo.

Wafanyakazi wa Mradi wa Ujenzi wa utanuzi wa barabara ya Mwanakwerekwe hadi Tunguu wakiwa katika zoezi la upimaji wa barabara hiyo wakiwa katika eneo la meli nne msikitini wakiwa katika kazi hiyo. 
Sehemu ya barabara hiyo tayari imekwisha hatua ya matayarisho ya ujenzi huo baada ya kukata miti iliyokuwa pembezonu mwa barabara hiyo. likiazwa kusafishwa kupisha ujenzi wa barabara hiyo. 
Doza likiwa kazini kusafisha eneo hiyo kuaza utanizi wa Barabara hiyo.
Zoezi la ukataji wa miti iliyoko pembezoni mwa barabara hiyo ukiendelea.
Wananchi waliojenga pembezoni mwa barabara hiyo wakivunja mijengo yao kupisha utanuzi huo wa barabara. 
Wananchi wa eneo la Fuoni wakiendelea na zoezi la kubomoa nyumba zilizojengwa kando ya barabara hiyo kupisha ujenzi wa barabara hiyo. 
Wananchi wakiendelea kubomoa nyumba zao waliojenga kando ya barabara hiyo.









1 comment:

  1. A.alaikum
    Unaweza kutueleza hii barabara itamalizia wapi ujenzi wake?
    Pili barabara nyingi zanzibar zimeshindwa kuwa na barabara za watembea miguu jee hii nayo itakuwa hivyo hivyo?
    Tatu jee vipi kuhusu miundo mbinu ya maji? Kuna eneo moja. Njia hii linakaa maji sana.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.