Habari za Punde

Hafla ya kumpongeza Bi Asha Abdalla Juma kwa kuteuliwa kuwa Mbunge

 Balozi Amina Salum Ali akizungumza na wageni mbali mbali waliohudhuria katika hafla ya kumpongeza Mhe.  Asha Abdalla Juma kwa kuteuliwa kuwa Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.
 Vijana wa Skaunt  wakimvalisha shada la mauwa  Mhe. Asha Abdalla Juma kwenye  sherehe hiyo.
 Mhe.  Asha Abdalla Juma akizungumza na wageni mbalimbali waliohudhuria katika sherehe ya kumpongeza  kwa kuchaguliwa kuwa Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Mjini Magharib.
Mhe.  Asha Abdalla Juma wakikumbatiana kwa furaha na Balozi Amina Salum Ali mara baada ya kuzungumza na wageni mbalimbali. (PICHA ABDALLA OMAR -MAELEZO ZANZIBAR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.