Habari za Punde

Sherehe za Skuli ya Star Kichungwani Pemba

 MWALIMU wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chakechake, Biubwa Ali Khamis akisoma risala kwenye sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi 40, waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake
 BAADHI ya wazazi na walezi wa wanafunzi wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chake chake, wakishuhudia michezo mbali mbali iliondaliwa na watoto wao, kwenye hafla ya sherehe za wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis Chakechake
 WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chakechake, wakisoma utenzi kwenye sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake
 BAADHI wanafunzi wanaosoma skuli ya Maandalizi ya Kichungwani ya Star Chakechake, wakuifuatilia michezo kadhaa iliochezwa na wenzao kwenye hafla ya sherehe za wazazi, zilizofanyika uwanja wa Tenis Chakechake Pemba
 WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chake chake, wakichuuna kwa mbio za vijiko, kwenye sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi 40 waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chake chake, wakishindana kula pipi zilizowekwa kwenye sahani yenye unga, ikiwa ni sehemu ya sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake 
AFISA Mipango wizara ya habari, utalii Utamaduni na Michezo Pemba Khatib Juma Mjaja, akimkabidhi zawadi ya uwanafunzi bora mmoja wa wanafunzi wa skuli ya Maandalizi ya Star, iliopo Kichungwani Chake chake Pemba, kwenye hafla ya sherehe za wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis Chakechake
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chake chake, wakiimba wimbo maalumu wa kuwatmbua wanyama kwa lugha ya kiengereza, kwenye sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi, waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake





MWALIMU wa skuli ya maandalizi ya Star iliopo Kichungwani Chakechake, Biubwa Ali Khamis akisoma risala kwenye sherehe za wazazi zilizoambatana na mahafali ya wanafunzi 40, waliomaliza masomo yao ngazi ya maandalizi, hafla iliofanyika uwanja wa Tenis Chake chake,


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.