Sunday, December 27, 2015

Kivutio cha Watalii Zenj

Kivutio cha Watalii wanaofika kutembelea Zanzibar ni milango asili Zanzibar Door kama walivyokutwa Watalii hawa wakipata maelezo ya mmoja wa mlango wa Zanzibar wa nakshi katika mji mkongwe  ukiwa umepamba na Milango ya Zanzibar ni moja ya kivutio cha wageni wanaotembelea Mji Mkongwe Zenj.

No comments:
Write Maoni