Habari za Punde

Kunazi na ....

 Hizi huitwa kunazi ni matunda adimu hatarini kutoweka katika visiwa vya Zanzibar
na hizi jee...?

7 comments:

 1. Pilipili doria. Nazo ziko mbioni kutoweka kwa ukataji wa miti hio kwa matumizi ya kuni, mkaa na n.k

  ReplyDelete
 2. Ni kweli usemayo, hapa Mbweni mpilipil dori umebaki mmoja ,mmikunazi ime baki miwili. ujenzi na kutowaona mababu zetu walikuwa wajinga kutuoteshea miti hii ndio kunakotupelekea kupoteza miti asili hapa Zbar

  ReplyDelete
 3. Inahitajika jitihada ya makusudi kuwaelimisha wananchi jua umuhimu wa kutunza miti ya asili lakini na huyu muandishi ilikuwa aweke wazi kua hizi ni pipilidori sio kunazi

  ReplyDelete
 4. Anoy...5 Mwandishi mbona yuko muwazi picha juu kasema ni kunazi, picha ya chini katoa puzzle kama unaelewa matunda ya asili.

  ReplyDelete
 5. Kweli iko mbioni kutoweka. Maana mwaka juzi nilenda zanzir kutafuta miche ya matunda ilinichukua muda kuupata mpilipili doria. Niliupata mmoja nikaondoka nao na kuupanda nwanza kwa sasa unajikongoja lakini naamini utakua.

  ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.