Habari za Punde

Mpiga picha anaekuja kwa kasi in Outdoor Photography







Hizi ni baadhi tu za kazi za mpiga picha anaechipukia Ismail A Abeid (Ishu). Hupendelea sana kupiga picha za mandhari  ya nje (Outdoor photography)

Kama unahitaji photoshots maalum kwa ajili ya outdoor photography, beach (ufukweni), garden (kwenye bustani) na hata kwenye harusi (weddings) kwanini usimtafute akuwekee kumbukumbu muhimu katika maisha yako kwenye picha zenye hadhi na kiwango cha aina yake.

Mtafute kwa email binabeid26@gmail.com au mtwangie kwa simu +255 774 414 121 au +255 715 943

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.