Wednesday, December 16, 2015

Ligi Kuu Mafunzo na KVZ, Timu ya Mafunzo Imeshinda 3--0

Beki wa timu ya Mafunzo akiwa na mpira huku mshambuliaji wa timu ya KVZ akijiandaa kumzuiya.Mshambuliaji wa timu ya Mafunzo akipiga mpira huku beki wa timu ya KVZ akijiannda kumzuiya.
Beki wa timu ya KVZ akiokoa mpira wakati wa kizaazaa hicho.
Mshambuliaji wa Timu ya Mafunzo akimpita beki wa Timu ya KVZ wakati wa mchezo wao wa ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya Mafunzo imeshinda 3--0