Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Black Sailor na Zimamoto.Zimamoto Imeshinda bao 4--1

 Mshambuliaji wa timu ya Black Sailors akipiga krosi golini kwa timu ya Zimamoto wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya Zimamoto imeshinda 4--1
Wachezaji wa timu ya Black Sailors wakishangilia bao lao la kwanza wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar. 




 Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto akimpita beki wa timu ya Black Sailors.
 Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuastilia mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Zimamoto na Black Sailors.
 Kipa wa timu ya Black Sailors akitowa mpira wavuni baada ya kufungwa bao la nne katika mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.

 Beki wa timu ya Black Sailors akiondoa mpira galini kwake huku mchezaji wa Zimamoto akijiandaa kumzuia wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar Uliofanyika Uwanja wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda 4--1 
Mashabiki wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kati ya Zimamoto na Black Sailors mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Zimamoto imeshinda 4--1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.