Tuesday, December 15, 2015

Ligi Kuu ya Zanzibar Chuoni na Black Sailors. Black Sailors Imeshinda 1--0

Kizaa golini kwa timu yua Chuoni.
Golikipa wa Timu ya Chuoni anaokoa mpira huku mchezaji wa timu yua Black Sailors akiwa tayari kuleta madha weakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zabnzibat Timu ya Black Sailors imeshinda bao 1--0 dhidi ya timu ya Chuoni mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar. No comments:
Write Maoni