Habari za Punde

Ligu Kuu ya Zanzibar Hatimae Yarejea katika Uwanja wa Amani. Kati ya Mchezo JKU na Polisi

Beki wa Timu ya JKU akiondoa mpira golini kwake. 
Mchezaji wa Timu ya Polisi na JKU wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa amaan Timu ya JKU imeshinda 2--1 


Mshambuliaji wa timu ya Polisi akimpita beki wa Timu ya JKU 
Kipa wa Timu ya Polisi akiokoa mpira golini kwake wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar na timu ya JKU uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya JKU imeshinda 2--1 
Benchi la Ufundi la Timu ya Polisi wakiwa na majonzi baada ya kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar dhidi ya Timu ya JKU kwa kufungwa mabao 2--1 mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan leo jioni 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.