Habari za Punde

Matatizo ya Maegesho Maeneo Yasiyoruhisiwa

 Mfanyakazi wa Baraza la Manispa Zanzibar akilifungia gari ambayo imeegeshwa katika maeneo yasiyoruhusiwa kuegesha magari katika eneo la Darajani. Kosa hili faini yake hutozwa shilingi 20,000/= 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.