Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa Afanya Ziara Uwanja wa Ndege Pemba na Banda la Ununuzi wa Karafuu Madungu Chakechake Pemba

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe Mwanajuma Majid Abdalla,akifanmya ziara ya kutembelea uimarishaji wa Zao la Karafuu Kisiwani Pemba, akitembelea moja ya Kituo cha Ununuzi wa Karafuu Madungu Chakechake Pemba.

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, akitembelea Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba kuangalia uwekaji wa Taa katika kiwanja hicho, akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Ufundi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Mzee Abdalla akimoonesha moja ya taa hizo tayari imeshawekwa katika uwanja huo ili kutowa huduma za usafiri wa ndege kwa wakati wote wa usiku   
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,Mhe Mwanajuma Majid Abdalla,akipata maelezo kutokwa kwa Afisa wa Ufundi wa Viwanja vya Ndege Zanzibar Mzee Abdalla wakati wa ziara yake kuangalia maendeleo ya uwekaji wa taa za kuongozea ndege katika uwanja huo. 
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe. Mwanajuma Majid akionesha Taa  ambazo zinafunwa katika uwanja huo 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.