MATANGAZO MADOGO MADOGO

Wednesday, December 16, 2015

Mradi wa Ujenzi wa mtaro wa Maji machafu Jangombe kwa Binti Hamrani.

 Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Mtaro wa maji machafu eneo la Mpendae kwa Bint Hamrani ukianza ujenzi wake ili kuondoa tatizo hilo la kujaa kwa maji ya maeneo hayo.