Thursday, December 31, 2015

Msikiti wa asili wa Ijumaa Mkamandume, kisiwani Pemba

BANGO linalotoa taarifa za Msikiti uliojengwa na mtawala aliepata jina la umaarifu Mkamandume eneo la Pujini Wilaya ya Chakechake Pemba karne ya 15 miaka 600 sasa, (Picha na Haji Nassor, Pemba).