Habari za Punde

Rais Magufuli akutana Dk Shein Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimlaki Rais wa Zanzibar na 
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es Salaam leo Desemba 26, 2015

Rais Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika mazungumzo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsindikiza  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein baada ya mazungumzo  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 26, 2015


PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.