Habari za Punde

Wananchi Walipata Fursa Kuitembelea Meli Yao Mpya ya MV MAPINDUZI.

 Wananchi kisiwani Unguja wakiwa katika foleni wakisubiri kuingia katika Meli hiyo kujionea uzuri wake wakiwa katika bandari ya Malindi Zanzibar ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.