Habari za Punde

Baada ya kuzinduliwa kwa taa za kuongozea ndege, Ndega zaanza kutua na kuruka usiku Pemba


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk, Ali Mohamed Shein, akifunguwa Pazia kuashiria uzinduzi wa taa za kuongozea ndege huko katika Kiwanja cha Karume Pemba.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Moh'd Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi na Watendaji wengine wa Wizara ya Miundombinu na mawasilinao Zanzibar.


 Ndege za mwanzo kuruka Kisiwani Pemba wakati wa usiku tokea kukata     munamo mwaka 1995, baada ya uzinduzi wa taa za kuongozea ndege katika kiwanja hicho  ghafla ambayo ilifanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa  Baraza la Mapinduzi,  Dk, Ali Mohamed Shein ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi.

Picha na Bakar Mussa -Pemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.