Benchi la Timu ya KVZ likiongozwa na Kocha wake Mkuu Msoma wakifuatilia mchezo wao wa Ligi Kuu ya na Timu ya Kimbunga uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya KVZ imeshinda 2--0.
Beki wa Timu ya Kimbunga akiondoa mpira golini kwao huku mchezaji wa KVZ akijiandaa kuchukua mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan Timu ya KVZ imeshinda 2--0.
Kipa wa Timu ya Kimbunga akiokoa moja ya hatari golini kwake.
Wachezaji wa Timu ya Kimbunga wakimlalamikia muamuzi wa pambano hilo kwa uchezeshaji wake mbaya kwa kupendelea timu pizani wakati wa mchezo huo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar timu ya KVZ imeshinda 2--0
No comments:
Post a Comment