Habari za Punde

Maofisa wa Baraza la Wawakilishi Wapata Warsha ya Ufuatiliaji na Tathimini Kutoka UNDP

Mtoa Mada katika Mafunzo ya Masuala ya Ufuatiliaji na Tathimini  kutoka UNDP Israel Laizer akitowa mafunzio ya Siku mbili kwa Maofisa wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar ya Ufuatiliaji na Tathimini ya Utekelezaji wa Miradi ya Kuimarisha Mabunge na vyombo vya kutunga Sheria (L .S.P) unaodhaminiwa na UNDP, yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar
Maofisa wa Baraza la Wawakilishi wakifuatila Mada wakati wa Mafunzo hayo yalioandaliwa na UNDP kwa Maofisa hao katika kutathimini na Ufuatiliaji Utekelezaji wa Miradi ya Kuimarisha Mabunge na Vyombo vya Kutunga Sheria (LSP) Inayodhaminiwa na UNDP, Warsha hiyo ya Siku mbili ya Wakijadili Taarifa ya Utekelezaji kwa Kipindi cha Robo mwaka. 

Mtoa Mada kutoka UNDP Isreal Laizer akifafanua jambo wakati wa Warsha hiyo ya Maofisa wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.