Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup Kati ya Timu ya Simba na URA Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Simba imeshinda 1--0

Wachezaji wa Timu ya URA ya Uganda wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wao na Timu ya Simba ya kuwania Kombe la Mapinduzi uliofanyika usika Uwanja wa Amaan Zanzibar,
Waamuzi wa pambano la Timu ya Simba na URA ya Uganda wakipasha misulu kabla ya mchezo huo kuaza wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wachezaji wa Timu ya Simba Wakipasha kabla ya kuaza kwa mchezo wao na Timu ya URA ya Uganda kuwania Kombe la Mapinduzi. 
Benchi la Ufundi la Timu ya URA wakiwa katika benchi lao kabla ya kuaza kwea mchezo huo wa kuwania Kombe la Mapinduzi lililofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Benchi la Ufundi la Timu ya Simba wakiwa katika benchi lao kabla ya kuaza kwea mchezo huo wa kuwania Kombe la Mapinduzi lililofanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo akisalimiana n a Waamuzi wa mchezo wa Simba na URA uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa Timu ya URA wakisalimiana na Wachezaji wa Timu Simba kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa kuwania Kombe la Mapinduzi mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Simba imeshinda mchezo huo bao 1--0.
Kikosi cha Timu ya URA kinachoshiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi kilichokubali kipigo cha Bao 1--0, Dhidi ya Timu ya Simba.
Kikosi cha Timu ya Simba kilichotowa kipigo kwa Timu ya URA ya Uganda wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan. Timu ya Simba imeshinda 1-0 
Mshambuliaji swa Timu ya Simba akikokota mpira huku mchezaji wa Timu ya URA akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan Zanzibar 
Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao lao la kwanza nma la ushindi dhiti ya Timu ya URA mchezo uliofanyika usiku Uwanja wa Amaan Zanzibar.

Wachezaji wa Timu ya Simba wakishangilia bao lao kwea staili yao.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi.
Mchezaji wa Timu ya Simba akimpita beki wa Timu ya URA. 
Viongozi wa Timu ya Simba wakifuatilia mchezo wao dhidi ya Timu ya URA ya Uganda. wakiwa jukwaa kuu uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Wachezaji wa Timu ya URA na Simba wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.
Beki wa Timu ya URA akiondoa mpira golini kwake huku mshambuliaji wa Timu ya Simba akiwa jirani kumnyanganya mpira huo.
Mchezaji wa Timu ya Simba akimpita beki wa Timu ya URA wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amma Zanzibar Timu ya Simba imeshinda bao 1--0No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.