MAAFISA wadhamini Kutoka ofisi mbali mbali za
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Mhe:Mohamed Aboud Mohamed wakati alipokuwa
akitoa tamko la Serikali juu ya Masuala ya Maafa kwa watendaji wa Serikali
Kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Sueliman,
PEMBA.)
MASHEHA wa Shehia mbali mbali za Mkoa wa kusini
Pemba, wakimsikiliza kwa makini Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,
Mhe:Mohamed Aboud Mohamed wakati alipokuwa akizungumza na watendaji mbali mbali
wa Serikali kisiwani Pemba.(Picha na
Abdi Sueliman, PEMBA.)
MKUU wa Mkoa wa kusini Pemba Mhe:Mwanajuma Majid
Abdalla akizungumza na viongozi mbali mbali wa Serikali, katika kikao cha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mhe:Mohamed Aboud Mohamed, juu
ya Tamko la Serikali kufuatia mabadiliko ya hali ya Hewa.(Picha na Abdi Sueliman, PEMBA.)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar,Mhe:Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na watendaji mbali mbali wa
serikali kisiwani Pemba, juu ya Tamko la Serikali kufuatia mabadiliko ya hali
ya Hewa.(Picha na Abdi Sueliman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment