Habari za Punde

Tigo Wapata Ugeni wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Harvard.Mkurungezi  mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akizungumza na wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Harvard, Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama kupata taarifa za uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano.
Mkurungezi  Mkuu wa Tigo Tanzania Diego Gutierrez akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi toka chuo kikuu cha Harvard cha Marekani waliopo nchini kwa ziara ya kimasomo na walitembelea leo makao makuu ya Tigo Kijitonyama kupata taarifa uwekezaji uliofanywa na kampuni ya Tigo katika sekta ya mawasiliano.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.