Habari za Punde

Uwanja wa Ndege Pemba Waanza Kutowa Huduma za Usafiri wa Ndege Usiku Baada ya Kukamilika Uwekaji wa Taa Katika Uwanja huo na Kuzinduliwa Jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar Said wakati wa uzinduzi wa Taa Mpya za Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizindua Taa za Uwanja wa Ndege wa Karume Chakechake Pemba, ikiwa ni moja ya shamra shamra za sherehe za maadhimisho ya Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 52.  
Ndege zikiwa katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba wakati wa Usiku baada ya uzinduzi wa Taa za Uwanja huo baada ya kuzinduliwa rasmin nav kuaza kutoa huduma kwa wakati wote mchana na usiku. 
Muenekano wa Uwanja wa Ndege Pemba wakati wa Usiku baada ya Uzinduzi wa Taa hizo na Rais wa Zanzibar No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.