MATANGAZO MADOGO MADOGO

Tuesday, February 2, 2016

Msimu wa Upepo, Samaki Bei Juu Marikiti Darajani

Wachuuzi wa Samaki katika marikiti Kuu ya Darajani wakiwa katika mnada wa samaki katika marikiti hiyo mtungo mmoja wa samaki aina ya changu uliuzwa kwa shilingi laki moja na ishirini