MATANGAZO MADOGO MADOGO

Sunday, February 21, 2016

NAFASI MBILI ZA KAZI ZINAHITAJI WATU WA KUZIJAZA HARAKA SANA. MSHAHARA NI MNONO PIA.

Nafasi ya Kazi Wanahitajika Wafanyakazi Wawili wa Kike katika 

Nafasi ya Mapokezi Hoteli ya Kitalii ya "MIGRATION LODGE" 

Iliyoko Serengeti Mkoani Mara .

Sifa Kuu ni Kujua lugha na Kuzungumza Kingereza kwa Ufasaha.

Mshahara Wao ni Mzuri.

Piga Simu No 0787 230782.

Haraka kwa Ajili ya Maelekezo Zaidi.