Habari za Punde

Ujumbe wa Manisipaliti ya Sundsvalls watembelea akinamama wa vikoba Makunduchi

Ujumbe wa Manisipaliti ya Sundsvalls, Sweden watembelea akinamama wa vikoba kutoka shehia zote za Makunduchi. Hapa wanaonekana na akinamama kutoka N'ganani. 

Waliokaa kitako kutoka kushoto ni mkuu wa kamati ya elimu ya Sundsvalls Assembly, ndugu Joao Pinheiro, Ina Skandevall. Wengine waliosimama ni Hans Zetterqvist na mratibu Bi Christin Stromberg.

 Ujumbe huo ulifuatana na mratibu wa Kamati ya Wadi za Makunduchi ndugu Mohamed Muombwa na ndugu Abdallah Ali Kombo (hawapo kwenye picha)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.