Habari za Punde

Wachezaji wa Timu ya AS Vita Club Wakijifua Uwanja wa Amaan Zanzibar

Kikosi cha Timu ya AS Vita kikijinowa kwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Amaan Zanzibar baada ya kuwasili mchana tayari kwa mchezo wake wa kwanza na Timu ya Mafunzo ya Zanzibar mchezo unaotarajiwa kufanyika jumamosi 13-2-2016
Wachezaji wa Kikosi cha Timu ya AS Vita wakiwa katika mazoezi uwanja wa amaan Zanzibar 

Viongozi wa Timu ya AS Vita wakifuatilia mazoezi ya timu ya baada ya kuwasili leo mchana na jioni kuaza mazoezi kuzoeya hali ya hewa ya uwanja huo wa Amaan kabla ya mchezo wao. 
Kocha Mkuu wa Timu ya AS Vita akifuatilia timu yake wakati wa kuaza mazoezi hayo katika uwanja wa Amaan Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.