Waziri wa Nchi Ofisi
ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba, akiongea na Balozi wa
Denmark Nchini Tanzania Einar Hebogard Jensen aliyemtembelea Mheshimiwa Waziri Ofisini kwake.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Muungano na Mazingira Mheshimiwa January Makamba, akimueleza jambo Balozi wa Denmark Nchini Tanzania Einar Hebogard Jensen alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar Es Salaam. Wengine katika picha na ni maafisa waliongozana na Balozi huyo.
No comments:
Post a Comment