Habari za Punde

Makamu wa Rais Mstaaf Dk Bilal Jana Amepiga Kura Yake Kituo cha Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar.

Makamu wa Rais Mstaaf Dk Mohammed Gharib Bilal akiwasili katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar kujumuika na Wananchi wa Zanzibar katika zoezi la Uchaguzi wa marudio uliofanyika jana Zanzibar. 
Makamu wa Rais Mstaaf Dk Bila akiwa na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Magharibi Unguja akiwasili katika Kituo cha Wapiga Kura wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar kupiga Kura yake jana. 
Karani wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Kiembesamaki akihakiki jina la Dk Bilal katika Daftari la Wapiga Kura wa Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar jana, alipofika kupiga kura yake katika kituo hicho.


Dk Bilal akipiga kura yake katika Kituo cha Kupigia Kura Skuli ya Kiembesamaki Zanzibar jana. 
Makamu wa Rais Mstaaf Dk Mohammed Gharib Bilal akizungumza na waandishi wa habari baada ya kupiga kura yake katika Kituo cha Skuli ya Kiembesamaki jana, 20,march 2016  wakati wa Uchaguzi wa Marudio Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Kumtangaza Mshindi wa Uchaguzi huo Dk Ali Mohamed Shein. Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.