Habari za Punde

Maalim Seif Akiwasili Zanzibar Akitokea Matibabuni Nchini India.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokelewa katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea nchini India alikokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya.
 Baadaye alipokelewa na wafuasi wa Chama chake cha CUF nyumbani kwake Mbweni na kupata fursa ya kuwasalimia.
Katika salamu zake Maalim Seif amesema CUF hakitobadili msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika Machi 20, 2016, na kwamba hakuna mgombea yoyote wa CUF atakayeshiriki uchaguzi huo.
(Picha na Salmin Said, OMKR)







No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.