Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Magufuli Ahudhuria Sherehe za Kuapishwa Rais wa Zanzibar Dk Shein Amani leo asubuhi.

Wananchi wakiwa katika mstari wakiingia katikac Uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Zanzibarv Dk Ali Mohamed Shein, zilizofanyika leo Zanzibar.na Kuhudhuriwa na Viongozi mbalimbali.

Rais wa Jamuhuri hya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar akihudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mteuli wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, leo, akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe hizo.

Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akiwasili katika viwanja vya Amaan akipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Abdalla Mwinyi Khamis. 

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akisalimiana na Mstahiki Meya wa Zanzibar Mhe Khatib Abdrahaman Khatib, alipowasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za Kuapishwa Rais wa Zanzibar.

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Othman Chande na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu wakiwasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar.

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe Abdalaa Mwinyi Khamis.alipowasili katika viwanja vya Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar Dk Shein. 

Rais Mstaaf wa Zanzibar Dk Amani Abeid Karume akisalimiana na Mstahiki Meya wa Zanzibar Mhe Khatib Abdrahaman Khatib. 

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mhe. Abdurahama Omar Kinana akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakati akiwasili katika uwanja wa Amaan Zanzibar kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais wa Zanzibar.

Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao Nchini Tanzania wakiwasili katika Uwanja wa Amaan Zanzibar wakihudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein.

Wananchi wakihudhuria sherehe za Kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar wakiwa Majukwaani. 
Gwaride rasmin la kuapishwa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, likiingia Uwanjani kwa ajili ya kukaguliwa na Rais wa Zanzibar Dk Shein. leo asubuhi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.