Habari za Punde

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ahitimisha Ziara Yake Wilaya ya Munduli.

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Mhe Shaka Hamdu Shaka akishiriki katika kazi za kupalilila shamba la mpunga baada ya kuwasili katika Wilaya ya Munduli kwa ziara yake ya kikazi na kujumuika na wananchi katika kazi hiyo ya kupalilila mpunga. 

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akizungumza na viongozi wa chama na Jumuiya mara baada ya kutoka Shambani
.pia Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka alipanda mti katika ofisi ya ccm kata ya Selela kama Kumbukumbu
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka alipokelewa na wananchi wa kijiji cha Serela kwa shwange na nderemo
Mkutano huo wa azee wa kijiji cha serela walimzindika kama ishara ya kumpokea katika kijiji hicho

Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akimsimika Kamanda wa Vijana Peter John Bega katika mkutano huo
Mwenyekiti wa Mkoa wa Arusha Lengai Ole Sabaya akiwahutubia wananchi kwa kumkaribisha Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka kuzungumza katika Mkutano wa hadhara
.Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akizungumza na wananchi wa kijiji cha Serela Wilayani Monduli katika mkutano wa hadhara
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akizungumza na wananchi wa kijiji cha Serela Wilayani Monduli katika mkutano wa hadhara
.Mwananchi akisikiliza kwa makini mkutano
.Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka akiwaaga wananchi tayari kwa kuelekea Mkoa wa Manyara.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.