Habari za Punde

Bye Bye Mkamasi wa Asili Rahaleo

Mvua zinazonyesha za Masika tayari baadhi ya maeneo zimeanza kuleta madhara kwa upepo  wakati wa kunyesha mvua hizo husababisha kuanguka kwa miti kama unavyoonekana. Mti huu ukiwa umeanguka kwa mvua ya jana iliokuwa na upepo, mti huu ni wa asili katika eneo la Rahaleo, jirani na kabu ya ujamaa. 
Barabara hiyo imeshindwa kupitika kutokana na kuanguka kwa mti huo nyakati za alfajiri. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.