Habari za Punde

Utilianaji wa Saini ya Ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mao Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg Omar Hassan Omar,(King) akisalimiana na Ofisa wa Ubalozi ya China Zanzibar Chen Li, wakati alipofika Wizara ya Habari kwa utilianaji wa saini ya ujenzi wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Mao hatua ya pili ya makubaliano hayo kwa hatua za kuaza ujenzi.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg Omar Hassan Omar King akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya utilianaji wa saini makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa Mao hatua ya pili ya mradi huo na Ofisa wa Ubalozi ya China Zanzibar Chen Li, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg Omar Hassan Omar (King )akisaini makubaliano Mradi wa Ujenzi wa Uwanja wa mpira wa Mao  hatua ya pili ya mradi huo na Ofisa wa Ubalozi Mdogo wa China Zanzibar Chen Li, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni.Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.