Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Katika Uchaguzi wa Naibu Spika na Mwenyeviti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akiingia kwa bwaride Ukumbi wa Mkutano kuongoza Baraza ka Tisa la Wawakilishi kwa shughuli za asubuhi kuchaguliwa Naibu Spika na Wenyekiti wa Baraza.

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Zuberi Ali Maulid akiwa katika Ukumbi wa Mkutano Akiongoza Kikao hicho
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Tisa la Wawakilishi Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho.

Mwakilishi wa Jimbo la Mahonda Zanzibar na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa na Mwakilishi wa Jimbo la Mkwajuni Zanzibar Mhe Ussi Yahya Haji wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi baada ya kuahirishwa.
Mwakilishi wa Jimbo la Malindi Zanzibar Mhe Mohammed Ahmada Salum akitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumalizika shughuli za kuwachagua Naibu Spika na Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kushoto Mhe Jaku Hashim Ayoub wa Jimbo la Paje Zanzibar na Mhe.Mohammed Raza wa Jimbo la Uzini Zanzibar wakibadilishanas mawazo nje ya ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa baada ya Uchaguzi wa Mchagua Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.