Habari za Punde

Lions Club Zanzibar Yakabidhi Msaada wa Madawa na Vyakula na Maji kwa Kambi ya Kipundupindu Zanzibar.

Mratibu wea Lions Club Zanzibar Hassan Ali Mzee akimkabidhi msaada wa Maji Biskuti, maziwa na madawa kwa ajili ya Kambi ya Kipindupindu Waziri wa Afya Mhe Mohamoud Thabit Kombo makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya Wizara ya Afya Mnazi Mmoja Zanzibar,kushoto Dk Ameesh Mehta na katikati Mjumbe wa Lions Club Zanzibar Javed Jafferji  

Mjumbe wa Lions Club Zanzibar Javed Jafferji akimkabidhi boksi la biskuti Waziri wa Afya Zanzibar Mhe Mahmoud Thabit Kombo kwa ajili ya Kambi za Kipundupinduzi Zanzibar. 

Daktari wa Dhamani wa Kambi ya Kipundupinduzi Dk Fadil Mohammed akizungumza na Wajumbe wa Lions Club Zanzibar katikati Dk Ameesh Mehta na Javed Jafferji.  

Mkurugenzi Kinga Wizara ya Afya Zanzibar Dk Mohamed Dahoma akitowa shukrani kwa Lions Club Zanzibar kwa msaada wao kusaidia kambi za maradhi ya Kipindupinduzi Zanzibar msaada huo umetolewa wakati muafaka na utatumika kama uliovyokusudiwa kwa Wananchi wanaopata matibabu katika kambi za kipindupindu 
Mratibu wa Lions Club Zanzibar Mr Hassan Ali Mzee akizungumza na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakati wa hafla ya kukabidhi Vyakula na Maji kwa ajili ya Kambi ya Kipindupinduzi,na kusema taasisi yao ya Lions Club Zanzibar imegusa na hali hiyo ya mripuko wa maradhi ya kipindupindu na kusaida jitihada zinazofanywa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutowa huduma hiyo na kuhakikisha maradhi hayo yanamalizika katika visiwa vya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.