Habari za Punde

Makabidhiano ya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo.Kwa Katibu Mkuu Mpya Omar Hassan King.

Katibu Mkuu Mstaaf wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na Michezo Dk Ali Mwinyikai, akitowa maelezo kwa Katibu Mkuu Mpya wa Wizara hiyo Omar Hassan Omar King, wakati wa makabidhiano ya Nyaraka za Wizara hiyo hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.    
Katibu Mkuu Mstaaf Dk.Ali Mwinyikai akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhi Ofisi kwa Katibu Mkuu Mpya Omar Hassan Omar (King ) hafla hiyo imehudhuriwa na Wakuu wa Idara ya Wizara hiyo. 
Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyikai akimkabidhi kitabu cha Bajeti cha Wizara hiyo kilichopita Katibu Mkuu Mpya Omar Hassan Omar (King) wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyikai akimkabidhi Nyaraka za Wizara hiyoKatibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar (King) 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar Kingi akimsikiliza Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyika wakati wa hafla ya makabidhiani Nyaraka za Wizara hiyo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar King na Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyikai wakisaini hati ya makabidhiano ya Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo, hafla hiyo ya makabidhiano ilimefanyika katika ukumbi wa mkutano wa Wizara ya Habari Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar King akibadilishana Nyaraka na Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyikai baada ya kusaini nyaraka hizo za makabidhiano ya Ofisi.

Naibu Katibu Mkuu Mstaaf Issa Mlingoti akitowa maelezo kabla ya kumkabidhi Ofisi Naibu Katibu Mkuu Mpya wa Wizara hiyo Dk Amani Ameir Issa.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Dk Amani Ameir Issa akikabidhiwa nyaraka za Ofisi na Naibu Kakibu Mkuu Mstaaf  Issa Mlongoti, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar King akizungumza na Wakuu wa Idara za Wizara yake baada ya kukabidhiwa nyaraka za Ofisi hiyo na Katibu Mkuu Mstaaf Dk Ali Mwinyikai 

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Omar Hassan Omar King akizungumza na Wakuu wa Idara za Wizara hiyo baada ya kukabidhiwa rasmin nyaraka za Wizara hiyo na aliyekuwa Katibu Mkuu Dk Ali Mwinyikai hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano Wizara ya Habari Kikwajuni Zanzibar.
Viongozi wa Idara za Wizara hiyo wakimsikiliza Katibu Mkuu Omar Hassan Omar King akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utalii Utamaduni na Michezo Dk Amina Ameir Issa akitowa shukrani na kutowa nasaha zake kwa Watendaji waWizara hiyo wakati wa hafla ya makabidhiano. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.