MTANGAZAJI wa Clouds Fm kutoka mkoani
Kilimanjaro, Beatrice akielezea changamoto na namna walivyokabiliana navyo
mkoani humo, wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana, kwenye mkutano wa siku mbili
wa ufuatiliaji wa habari za uchaguzi, uliofanyika Mkoani Mtwara na kuandaliwa
na shirika la internews (picha na Haji
Nassor alipokuwa Mtwara).
AKINAMAMA wauza korosho kutoka
mkoani Mtwara Tanzania bara, wakiwahudumiwa wateja wao katika eneo la Bima
katikati ya manispaa ya Mtwara, ambapo bei ya korosho ni kati ya shilingi 1000
na shilingi 20,000 kwa ujazo wa kilo moja, (picha
na Haji Nassor alipokuwa Mtwara).
No comments:
Post a Comment