Habari za Punde

Wajumbe wa Bodi ya Tamasha la sauti za Busara wakutana kujadili mikakati ya maandalishi ya tamasha la 2017

 Wajumbe wa Bodi ya Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar wakiwa katika kikao cha maandalizi ya sherehe za Tamasha hilo mwakani 2017 mwezi wa Februari mjini Unguja.
Kikao hicho kilifanyika kwenye ofisi yake, Maisara mjini Zanzibar jana. Pichani Mjumbe mpya Maria Sarungi Tsehai (wa pili kushoto) akiongea.

Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Simai Mohamed Said (kulia wanaoangalia camera) akizungumza.
Picha zote na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.