MRATIBU wa chanjo kutoka Kituo cha Huduma za Afya ya Uzazi na Mtoto Nd. Yussuf Haji Makame, akitoa maelezo kwa waandishi wa habari na maofisa wa afya kutoka wilaya mbalimbali za Unguja juu ya wiki ya chanjo barani Afrika, inayoanza leo Aprili 23, 2016.
MWANDISHI wa habari mwandamizi kutoka Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), na Mwenyekiti wa mkutano Sheikh Said Suleiman, akizungumza katika semina juu ya umuhimu wa chanjo ya polio kwa washiriki (hawapo pichani), katika hospitali ya Kidongo Chekundu.
WAANDISHI wa habari wa vyombo mbalimbali na maofisa wa afya wa wilaya za Unguja waliohudhuria katika mkutano huo. (Picha zote na Abdalla Omar-MAELEZO ZANZIBAR).
No comments:
Post a Comment