Habari za Punde

Ziara ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Mhe Shaka Hamdu Shaka Mkoani Manyara Tayari kwa Kuaza Ziara .

Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka akifungwa Skafu mara baada ya kupokelewa kwa shangwe na wananchi na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake Mkoani Mara akiwa katika ziara yake ya kutembelea Jumuiya ya UVCCM.
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka akiongozana na Wana CCM kuelekea katika shughuli za kusaidia ujenzi wa taifa katika Shule ya Matufwa ilioko Wilaya ya Babati Vijijini
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka akishirikiana na  Wananchi katika Ujenzi wa Taifa katika shughuli ya usombaji matofali katika Shule ya Matufwa Wilaya ya Babati Vijijini
Kikundi cha Ngoma cha Msanja Magugu Kikitoa b urudani katika Mkutano wa Hadhara
Kaimu  Katibu Mkuu UVCCM Shaka H Shaka Akisimikwa na Mzee wa kimila na kukabidhiwa Fimbo kama Ishara ya kumlinda na kumuongoza awapo katika Mkoa wa Manyara


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.