Habari za Punde

Rais wa Zanzibar Dk Shein Aelekea Nchi Comoro Kuhudhuria Kuapishwa kwa Rais Mteule wa Muungano wa Visiwa vya Comoro.

Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kumshindikiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akielekea Nchini Comoro kuhudhuriwa Sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Muungano wa Visiwa vya Comoro Mhe. Azali Assouman Boinakher, 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, akielekea Nchini Comoro kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Muungano wa Visiwa vya Comoro.   
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kumuaga Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wac Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akielekea Nchi Comoro kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Visiwa vya Comoro, akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli, katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar aliagwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiagana na Wazee wa CCM Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Nchini Comoro kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Mteule wa Muungano wa Visiwa vya Comoro, Mhe Azali Assouman Boinakher. akimuwakilisha Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe Ayuob Mohammed Mahmuod, wakati wa kumuaga akielekea Nchini Comoro kuhudhuria kuapishwa kwa Rais Mteule wa Comoro.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Dk Shein, akianza safari yake kuelekea Nchini Comoro. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.